Nafasi za Kazi Kutoka MITU Novemba 2024 | Ajira Mpya Mwanza Intervention Trials Unit

Nafasi za Kazi Kutoka MITU Novemba 2024 | Ajira Mpya Mwanza Intervention Trials Unit 20241108

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,187
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi Kutoka MITU Novemba 2024 | Ajira Mpya Mwanza Intervention Trials Unit - Tangazo la Nafasi za Kazi Kutoka MITU Novemba 2024 - Ajira Mpya Mwanza Intervention Trials Unit PDF.

Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka MITU Novemba 2024 | Ajira Mpya Mwanza Intervention Trials Unit zilizo tangazwa siku ya leo kwa watanzania wote wenye nia na sifa waweze kutuma maombi kuanzia sasa.

Mwanza Intervention Trials Unit (MITU) ni kitengo cha utafiti kilichopo kwenye kampasi ya Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) huko Mwanza, Tanzania. MITU inalenga kusaidia kuboresha afya kwa kufanya tafiti mbalimbali za masuala ya afya, kama VVU, kwa viwango vya juu vya kimataifa...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom