Nafasi za kazi Kutoka TIE | Ajira Mpya za Mkataba Taasisi ya Elimu Tanzania

Nafasi za kazi Kutoka TIE | Ajira Mpya za Mkataba Taasisi ya Elimu Tanzania 02 Novemba 2024

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,648
Gift submitted a new resource:

Nafasi za kazi Kutoka TIE | Ajira Mpya za Mkataba Taasisi ya Elimu Tanzania - Tangazo la Nafasi za kazi Kutoka TIE - Ajira Mpya za Mkataba Taasisi ya Elimu Tanzania PDF leo.

Hili hapa Tangazo la Nafasi za kazi Kutoka TIE | Ajira Mpya za Mkataba Taasisi ya Elimu Tanzania zilizo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira Utumishi leo tarehe 02 November 2024.

Fursa za Kazi za Kipekee kwa Walimu, Wataalamu wa Elimu na Watumishi Wenye Juhudi!
Jiunge na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) na changia katika kujenga mfumo bora wa elimu kwa vizazi vijavyo.

Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE), inayosimamiwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inakaribisha maombi ya kazi...

Read more about this resource...
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom