Nafasi za Kazi Kutoka ZanAjira | Ajira Mpya Tume ya Utumishi Serikalini

Nafasi za Kazi Kutoka ZanAjira | Ajira Mpya Tume ya Utumishi Serikalini 02 Novemba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,320
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi Kutoka ZanAjira | Ajira Mpya Tume ya Utumishi Serikalini - Tangazo la Nafasi ya Kazi ZanAjira Afisa Habari- Ofisi ya Rais - Katiba Sheria Utumishi na Utawala

Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi ya kazi kwa ajili ya Afisa Habari Daraja la II - ZPSE-10 (Nafasi 1 - Unguja) katika Ofisi ya Rais - Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora kuweza kujaza Ajira Mpya zilizo wazi kupitia ZanAjira.
Nafasi za Kazi Kutoka ZanAjira | Ajira Mpya Tume ya Utumishi Serikalini

Jinsi ya Kuomba​

  • Njia ya Maombi: Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya...

Read more about this resource...
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom