Mgodi wa Dhahabu wa North Mara (unamilikiwa na Barrick Gold Corporation) upo wilayani Tarime, mkoa wa Mara, kaskazini magharibi mwa Tanzania. Mgodi huu uko karibu, kama kilomita 20 kutoka mpaka wa Kenya na kilomita 100 mashariki ya Ziwa Victoria.
Barrick North Mara ilianza uzalishaji wa dhahabu mwaka 2002. Mgodi huu unachimba dhahabu kwa njia mbili: uchimbaji wa wazi (Nyabirama) na uchimbaji wa chini ya ardhi (Gokona). Kiwanda cha kuchakata mawe kina uwezo wa kushughulikia takribani tani 8,000 za mawe ya madini kila siku.
Bonyeza hapa kutuma maombi sasa

Ajira zilizo tangazwa Mgodi wa Barrick
Bonyeza hapa kutuma maombi sasa