Nafasi za Kazi MUST | Ajira Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya

Nafasi za Kazi MUST | Ajira Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya 01 Novemba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,187
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi MUST | Ajira Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya - Ajira Mpya kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kupitia Ajira Portal leo

Hizi hapa Nafasi za Kazi MUST | Ajira Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya zilizo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira (PSRS) katika Utumishi wa Umma kwa watanzania wote wenye sifa.

Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kilianzishwa kutokana na mabadiliko kutoka Taasisi ya Sayansi na Teknolojia Mbeya (MIST) kupitia Sheria ya Vyuo Vikuu Na.7 ya mwaka 2005 na Katiba ya MUST ya mwaka 2013. Chuo hiki kina ndoto ya kuwa kitovu bora cha maarifa, ujuzi, na elimu ya vitendo...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom