Nafasi za Kazi PASS Trust Tanzania

Nafasi za Kazi PASS Trust Tanzania 14-05-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi EFTA Tanzania kwa Watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi katika ajira mpya hizi zilizotangazwa siku ya leo tarehe 14/05/2025. kwa sasa ni taasisi ya kipekee hapa Tanzania inayotoa huduma za dhamana ya mikopo kwa wanaojihusisha na kilimo biashara. Inafanya kazi chini ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), na inashirikiana na taasisi mbalimbali za kifedha nchini. Lengo lao kubwa ni kuwasaidia watu wanaojihusisha na mnyororo wa thamani wa kilimo kwa kuwajengea uwezo na kuwawezesha kupata mikopo kwa urahisi.

Tuma maombi hapa.
Nafasi za Kazi PASS Trust Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom