Nafasi za Kazi PASS Trust Tanzania

Nafasi za Kazi PASS Trust Tanzania 20-04-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi PASS Trust Tanzania kwa sasa ni taasisi ya kipekee hapa Tanzania inayotoa huduma za dhamana ya mikopo kwa wanaojihusisha na kilimo biashara. Inafanya kazi chini ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), na inashirikiana na taasisi mbalimbali za kifedha nchini. Lengo lao kubwa ni kuwasaidia watu wanaojihusisha na mnyororo wa thamani wa kilimo kwa kuwajengea uwezo na kuwawezesha kupata mikopo kwa urahisi.

Tuma maombi hapa.
Nafasi za Kazi PASS Trust Tanzania
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom