Nafasi za kazi ROA December 2024

Nafasi za kazi ROA December 2024

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 88%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
607
Hizi hapa Nafasi za kazi ROA December 2024. Ruvuma Orphans Association (ROA) ni shirika lisilo la kiserikali lililosajiliwa tarehe 6 Aprili 2001, na lenye namba ya usajili 10883. Shirika hili linaendesha miradi mbalimbali ya kusaidia jamii, hasa makundi yaliyo pembezoni kama watoto wanaoishi katika mazingira magumu, watu wanaoishi na VVU/UKIMWI, na watu wenye ulemavu.
Nafasi za kazi ROA December 2024

ROA imeungana na FHI360 kutekeleza mpango wa EpiC, mradi wa miaka mitano wa kuzuia maambukizi ya VVU unaofadhiliwa na Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani wa Kukabiliana na UKIMWI (PEPFAR) na Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID). Mradi huu unalenga kufanikisha na kudumisha udhibiti wa UKIMWI katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea, Mji wa Mbinga, Wilaya ya Mbinga, na Wilaya ya Nyasa.

Nafasi Inayotangazwa:

Data Officer (Nafasi 1)
Kituo cha Kazi:
Songea MC
Anaripoti kwa: M&E Officer
Muda wa Ajira: Miezi tisa, na mkataba unaweza kuongezwa
 

Attachments

Back
Top Bottom