Nafasi za kazi Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) December 2024

Nafasi za kazi Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) December 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,750
Hizi hapa Nafasi za kazi Kwa niaba ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa, ujuzi, na ari ya kazi kujitokeza kuomba nafasi moja ya kazi kama ilivyoainishwa hapa chini December 2024.

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)​

TPDC ni Shirika la Taifa linalojihusisha na uchimbaji, utafutaji, na uzalishaji wa mafuta na gesi asilia. Shirika hili pia lina Kampuni Tanzu inayojulikana kama TANOIL Investment Limited, ambayo inajihusisha na uagizaji, uhifadhi, usambazaji, na ugawaji wa bidhaa za petroli. Hivi sasa, shirika linakaribisha maombi kwa nafasi moja wazi kwa wataalamu wa Kitanzania kama ifuatavyo.
Nafasi za kazi Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) December 2024

TANGAZO LA NAFASI YA KAZI SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI TANZANIA (TPDC)
PDF hapo chini, kama una swali uliza. Tunapenda kusikia kutoka kwako.
 

Download PDF

Back
Top Bottom