Nafasi za Kazi Shule ya Sekondari St Peter’s

Nafasi za Kazi Shule ya Sekondari St Peter’s Januari 2025

Uongozi wa Shule ya Sekondari St. Peter’s unapenda kuwatangazia wananchi wote nafasi ya kazi ya ualimu katika masomo yafuatayo;
Nafasi za Kazi Shule ya Sekondari St Peter’s

1. Mwalimu masomo ya Basic Mathematics na Physics – Nafasi 1
2. Mwalimu masomo ya Chemistry na Biology / Chemistry na Mathematics – Nafasi 1
3. Mwalimu masomo ya History na Kiswahili – Nafasi 1
4. Mwalimu masomo ya Geography na English Language – Nafasi 1
 

Attachments

Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom