Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Survival Hospital Tanzania, Hospitali hii inamilikiwa na kampuni ya NSG CO. LTD yenye makao yake makuu mkoani Geita. Ina mazingira mazuri ya kazi pamoja na huduma zote za msingi kama barabara, maji na umeme. Hivi sasa, hospitali inatafuta wafanyakazi wenye moyo wa kujituma na uvumilivu kwa ajili ya nafasi zifuatazo.
Tuma maombi hapa.
drive.google.com
Tuma maombi hapa.
JOB OPPORTUNITIES - ASS.NURSING OFFICER.pdf

Majina/Orodha ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Taaluma Mbalimbali Aprili 2025
ajira.zimamoto.go.tz
Nafasi za kazi UNIDO Tanzania
19-04-2025