Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi Survival Hospital Tanzania, Hospitali hii inamilikiwa na kampuni ya NSG CO. LTD yenye makao yake makuu mkoani Geita. Ina mazingira mazuri ya kazi pamoja na huduma zote za msingi kama barabara, maji na umeme. Hivi sasa, hospitali inatafuta wafanyakazi wenye moyo wa kujituma na uvumilivu kwa ajili ya nafasi zifuatazo.
Tuma maombi hapa.
drive.google.com
Tuma maombi hapa.
JOB OPPORTUNITIES - ASS.NURSING OFFICER.pdf
drive.google.com