Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Views: 2K
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ni taasisi ya serikali iliyoundwa kwa ajili ya kuendesha, kusimamia, kuhudumia na kuendeleza viwanja vya ndege vinavyomilikiwa na serikali kwa mtindo wa usimamizi unaolenga kibiashara.