Hizi hapa nafasi za kazi zilizo tangazwa na Taasis ya Bima ya Tanzania ilisajiliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani mwaka 1996 kama tawi la ndani la Taasisi ya Bima ya Chartered (CII) ya London. Hadi sasa, Taasisi ya Bima ya Tanzania inaendelea kufanya kazi kama mshirika wa chama cha wataalamu wa bima kilichopo Uingereza