Nafasi za kazi Taasisi ya Jane Goodall (JGI) December 2024

Nafasi za kazi Taasisi ya Jane Goodall (JGI) December 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 55%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
467
Hizi hapa Nafasi za kazi Taasisi ya Jane Goodall (JGI) December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote nia, ari na sifa kulingana na vigezo vilivyowekwa katika tangazo hili hapa chini.
Nafasi za kazi Taasisi ya Jane Goodall (JGI) December 2024

Taasisi ya Jane Goodall (JGI) ni shirika la uhifadhi wa jamii ambalo linaendeleza maono na kazi ya Dk Jane Goodall kwa kuhifadhi sokwe mtu na kuhamasisha jamii ili kuhifadhi ulimwengu wa asili ambao sisi wote tunashiriki; Ili kuboresha maisha ya watu, wanyama, na mazingira. Tunaamini sana kila kitu kinaunganishwa na kila mtu anaweza kufanya tofauti.
 

Download PDF

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom