Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) ulianzishwa chini ya Sheria ya Wakala za Serikali Na. 30 ya mwaka 1997 (iliyorekebishwa) na kuanza rasmi tarehe 17 Mei, 2002 kupitia Tangazo la Serikali Na. 193 lililochapishwa siku hiyo hiyo. TGFA ilichukua majukumu ya Kitengo cha Ndege za Serikali kilichokuwa chini ya Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi (ambayo sasa ni Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi) kwa lengo la kutoa huduma za usafiri wa anga kwa serikali kwa ufanisi zaidi, gharama nafuu, na mtindo wa kibiashara. Mwaka 2018, wakala huu ulihamishiwa kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwenda Ofisi ya Rais, Ikulu kupitia Tangazo la Serikali Na. 252.
Zimetangazwa ajira mpya 2 Ajira portal
Zimetangazwa ajira mpya 2 Ajira portal
Nafasi za kazi TAA
Ajira mpya 12
Nafasi za kujitolea Tanzania Impact for Health
Ajira Januari 2025
Attachments