Hili hapa tangazo. Leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anayo furaha kutangaza nafasi 26 za ajira ya Mkataba kwa wananchi wa Kakonko wenye sifa stahiki nafasi ya Wakusanya Mapato.
II. Waombaji wote wawe na umri kati ya miaka 18 – 45.
III. Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa.
IV. Waombaji wote waambatanishe maelezo binafsi (CV) yenye anuani na namba za simu za kuaminika na majina mawili ya wadhamini.
Sifa za Kuajiriwa:
- Awe amehitimu kidato cha nne (4).
- Awe na umri kuanzia miaka kumi na nane (18) hadi arobaini na tano (45).
- Awe na Kitambulisho cha Nida au Namba ya Nida.
- Awe anaweza kutumia simu janja.
MASHARTI YA JUMLA:
I. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania.II. Waombaji wote wawe na umri kati ya miaka 18 – 45.
III. Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa.
IV. Waombaji wote waambatanishe maelezo binafsi (CV) yenye anuani na namba za simu za kuaminika na majina mawili ya wadhamini.
Nafasi za kazi za Mhasibu CCT
Ajira Mpya
Nafasi za Kazi ya Kukusanya Ushuru (Makarani) Tunduma
Ajira Mpya 90