Nafasi za kazi ya Wakusanya Mapato Wilaya ya Kakonko

Nafasi za kazi ya Wakusanya Mapato Wilaya ya Kakonko Ajira mpya 26

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hili hapa tangazo. Leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anayo furaha kutangaza nafasi 26 za ajira ya Mkataba kwa wananchi wa Kakonko wenye sifa stahiki nafasi ya Wakusanya Mapato.

Sifa za Kuajiriwa:​

  • Awe amehitimu kidato cha nne (4).
  • Awe na umri kuanzia miaka kumi na nane (18) hadi arobaini na tano (45).
  • Awe na Kitambulisho cha Nida au Namba ya Nida.
  • Awe anaweza kutumia simu janja.

MASHARTI YA JUMLA:​

I. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania.
II. Waombaji wote wawe na umri kati ya miaka 18 – 45.
III. Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa.
IV. Waombaji wote waambatanishe maelezo binafsi (CV) yenye anuani na namba za simu za kuaminika na majina mawili ya wadhamini.
Nafasi za kazi ya Wakusanya Mapato Wilaya ya Kakonko

Nafasi za kazi ya Wakusanya Mapato Wilaya ya Kakonko 2
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom