- Views: 4K
- Replies: 10
Hizi hapa Nafasi za Kazi za Direct Sales Officer 60 kwa kila tawi kutoka NBC ni benki kongwe zaidi nchini Tanzania yenye uzoefu wa zaidi ya miongo mitano. Tunatoa huduma mbalimbali zikiwemo za benki za rejareja, biashara, kampuni, uwekezaji, pamoja na usimamizi wa mali na bidhaa nyingine za kifedha.
Fursa ya Kazi: Wauzaji wa Moja kwa Moja – Nafasi 60 kwa kila tawi
Msimamizi: Meneja wa Maendeleo ya Biashara, Tawi husika
Eneo: Matawi yote ya NBC Bank yaliyoorodheshwa hapa chini
Muda wa Mkataba: Mwaka 1
Muhtasari wa Kazi:
Kusaidia katika kuuza bidhaa za Retail Banking Liabilities kwenye matawi ya benki ili kufanikisha malengo ya mauzo kwa mujibu wa malengo ya biashara. Wakati huo huo, kutoa huduma bora kwa wateja kwa njia ya mauzo ya moja kwa moja (pro-active selling).
Wasilisha nakala za mahitaji yafuatayo katika tawi unaloomba kazi:
i. Nakala ya vyeti vya masomo
ii. Nakala ya Kitambulisho cha Taifa
iii. Nakala ya Wasifu (CV)
iv. Nakala ya Cheti cha TIN