Mashindano ya CHAN 2025 yanatarajiwa kufanyika hapa Tanzania kuanzia tarehe 1– 28 Februari 2025.
SIFA ZA MWOMBAJI
Tuma maombi hapa
- Wanahitajika watu wenye ari na uzalendo wa kujitolea ili kufanikisha tukio hili kubwa na la kimataifa.
- Tanzania ikiwa miongoni mwa nchi mwenyeji wa mashindano haya, tunatoa nafasi za kujitolea kwa vijana wenye utayari wa kutoa muda na nguvu zao kusaidia maandalizi na utekelezaji wa mashindano haya.
SIFA ZA MWOMBAJI
- Awe raia wa Tanzania
- Umri wa miaka 18 hadi 40
- Awe na utayari wa kujitolea muda wake na kufanikisha mashindano.
- Mwenye kiwango cha elimu ya kidato cha IV na kuendelea.
- Mwenye ufasaha wa kuzungumza lugha ya Kiswahili na Kingereza
- Mwenye uwezo wa kupatikana muda wote
- Awe na mawasiliano mazuri na uwezo wa kufanya kazi katika mazingira ya timu.
- Ujuzi wa ziada kama lugha za kigeni, teknolojia, au uzoefu katika mashindano ya michezo utazingatiwa kama nyongeza za sifa.
- Barua kutoka ofisi za Serikali ya Mtaa unayoishi kwa sasa.
Tuma maombi hapa
Nafasi za kazi DHL Tanzania
Januari 2025
Nafasi za kazi TAA
Ajira mpya 12