Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Views: 793
Hili hapa tangazo la nafasi za madereva On Africa Construction Ltd Tanzania kwa Watanzania wote wenye sifa. Wanahitajika kutuma maombi na kujaza ajira mpya hizi. Hivyo wahi sasa na utume maombi mapema 7/05/2025.