NAFASI ZA TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II) MDAs & LGAs

NAFASI ZA TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II) MDAs & LGAs Ajira mpya 75

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hizi hapa nafasi za kazi za Tabibu wa Kinywa na Meno daraja la pili (Dental Therapist II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa leo na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma.
NAFASI ZA TABIBU WA KINYWA NA MENO DARAJA LA II (DENTAL THERAPIST II) MDAs & LGAs

Kuajiriwa wenye Stashahada ya Tabibu wa Meno(Diploma in Clinical dentistry) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali, pia awe amesajiliwa na Baraza la Madaktari.

Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom