Maombi yanakaribishwa kutoka kwa watumishi wa serikali wa Tanzania wenye sifa, ili kujiunga na kozi za mafunzo zifuatazo ambazo zitafanyika nchini India.
A. Ugaramiaji wa masomo
Gharama zote za mafunzo chini ya Mpango huu, ikijumuisha tiketi za ndege za kwenda na kurudi, ada za masomo, malazi, matibabu ya dharura, na ziara za kielimu, zitalipwa na Serikali ya India.
B. Sifa za Mwombaji
i. Awe ni mtumishi wa umma anayejihusisha na kozi ya mafunzo inayohusiana na taaluma yake ya kazi;
ii. Awe na umri wa miaka 25 hadi 45;
iii. Awe na uzoefu wa kazi wa angalau miaka mitano (5) katika Utumishi wa Umma;
iv. Awe na ujuzi wa kuzungumza na kuandika kwa lugha ya Kiingereza, kwani ni lazima kwa waombaji wote;
v. Awe na afya njema kimwili na kiakili.

Attachments
Last edited: