Nafasi za Ufadhili wa Masomo Chuo Kikuu cha Muhimbili cha Sayansi ya Afya na Shirikishi (MUHAS) 2025 kimepokea msaada wa miaka sita (2024-2030) kutoka kwa Serikali ya Sweden kupitia Shirika lake la Maendeleo la Kimataifa (Sida). Msaada huu unalenga kuchangia jitihada za kukabiliana na changamoto za afya nchini Tanzania na kuboresha matokeo ya afya kwa kuimarisha uwezo wa mafunzo na utafiti katika chuo hicho pamoja na taasisi nyingine za utafiti na mafunzo nchini.
Msaada huu utahusisha kugharamia ada za masomo, posho za kila mwezi, pamoja na msaada wa utafiti kwa wanafunzi wa shahada ya uzamivu (PhD).
Download tangazo zima hapo chini
Msaada huu utahusisha kugharamia ada za masomo, posho za kila mwezi, pamoja na msaada wa utafiti kwa wanafunzi wa shahada ya uzamivu (PhD).
Download tangazo zima hapo chini
Attachments