S Sabra Ali New member Reputation: 1% Joined Dec 9, 2024 Messages 1 Dec 9, 2024 #1 Nimejaribu kuingia katika tovuti ya uhamiaji ila sijafanikiwa naomba muelekezo katika kufanya maombi ili nikamilishe kabla ya siku ya mwisho. P Jinsi ya kujisajili na Ajira Portal Nafasi za kazi DP World Tanzania December 2024
Nimejaribu kuingia katika tovuti ya uhamiaji ila sijafanikiwa naomba muelekezo katika kufanya maombi ili nikamilishe kabla ya siku ya mwisho. P Jinsi ya kujisajili na Ajira Portal Nafasi za kazi DP World Tanzania December 2024
G Gift Administrator Staff member Reputation: 100% Joined Oct 19, 2024 Messages 1,492 Dec 9, 2024 #2 1. Ukisha login bonyeza hapo kwenye vidoti vitatu juu kulia kwako 2. Set iwe desktop site 3. Ukifanya hivyo itakuwa rahisi kutuma maombi.
1. Ukisha login bonyeza hapo kwenye vidoti vitatu juu kulia kwako 2. Set iwe desktop site 3. Ukifanya hivyo itakuwa rahisi kutuma maombi.