S Sia Moderator Staff member Reputation: 54% Joined Oct 20, 2024 Messages 453 Sunday at 3:27 PM #1 Naomba kujua Ofisi za NECTA zipo sehemu gani ziko wapi hasa za makao makuu Dar Es Salaam Jinsi ya Kuwa Freelancer Tanzania 2025-2026 S Ofisi za NHIF Mbezi ziko wapi?
Naomba kujua Ofisi za NECTA zipo sehemu gani ziko wapi hasa za makao makuu Dar Es Salaam Jinsi ya Kuwa Freelancer Tanzania 2025-2026 S Ofisi za NHIF Mbezi ziko wapi?
S Sia Moderator Staff member Reputation: 54% Joined Oct 20, 2024 Messages 453 Sunday at 3:29 PM #2 Kwa Dar es Salaam: Makao Makuu: Mikocheni Industrial Area, opposite na TBC (Tanzania Broadcasting Corporation). Maelekezo Ukiwa Mbezi Louis, Kibamba, au Kimara, panda gari la Makumbusho, shuka Bamaga. Ofisi ziko karibu na Posta, jirani na Startimes. @Sia Upvote 0 Downvote
Kwa Dar es Salaam: Makao Makuu: Mikocheni Industrial Area, opposite na TBC (Tanzania Broadcasting Corporation). Maelekezo Ukiwa Mbezi Louis, Kibamba, au Kimara, panda gari la Makumbusho, shuka Bamaga. Ofisi ziko karibu na Posta, jirani na Startimes. @Sia