Orodha/Majina ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Aprili 2025

Orodha/Majina ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Aprili 2025 ajira.zimamoto.go.tz

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa orodha ya majina ya walioitwa/kuitwa kwenye usaili Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji anapenda kuwatangazia kuwa vijana waliomba ajira ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kupitia mfumo wa ajira ZIMAMOTO RECRUITMENT (ajira.zimamoto.go.tz), Usaili utafanyika kuanzia tarehe 05 Aprili, 2025 hadi tarehe 17 Aprili, 2025 kuanzia saa 1:00 Asubuhi kwa kila kundi.

Waombaji waliomba ajira kwa elimu ya kidato cha nne usaili wao utafanyika kuanzia tarehe 05 hadi 09 Aprili, 2025 saa 1:00 Asubuhi kwenye mikoa walioichagua wakati wa kutuma maombi.

Angalia hapa
Orodha/Majina ya walioitwa kwenye usaili Zimamoto Aprili 2025
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom