Orodha ya Majina Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi 2025

Orodha ya Majina Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi 2025 Walioitwa Polisi PDF

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa Orodha ya Majina Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi 2025 yaliyotangazwa siku ya leo Vijana waliofanyiwa usaili Mikoa ya Tanzania Bara wanatakiwa kuripoti kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa waliofanyia usaili tarehe 11/06/2025 saa 2.00 asubuhi kwa ajili ya kupewa utaratibu wa safari ya kwenda Shule ya Polisi Moshi.

Pia, vijana waliofanyia usaili Zanzibar (Unguja na Pemba) wanatakiwa waripoti Makao Makuu ya Polisi Zanzibar (Ziwani) tarehe 11/06/2025 saa 2.00 asubuhi kwa ajili ya kupangiwa utaratibu wa safari.

Angalia waliochaguliwa polisi hapa PDF.

Soma maelezo hapa kupitia tovuti husika.
Orodha ya Majina Waliochaguliwa kujiunga na Jeshi la Polisi 2025
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom