Wananchi, Hii hapa Orodha ya Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na VETA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi 2025 yaliyo tangazwa siku ya leo tarehe 11 Disemba 2024, kwa watanzania wote wale waliotuma maombi yao kwa kufata maelekezo yaliyo tolewa kwenye tangazo husika.
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) ilianzishwa kupitia Sheria ya Bunge ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET) Na. 1 ya mwaka 1994, toleo lililorekebishwa Cap 82 ya mwaka 2219.
Lengo kuu la kuanzishwa kwa VETA ni kusimamia mfumo wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VET) nchini Tanzania. Majukumu yake ni pamoja na kukuza, kuratibu, kutoa, kudhibiti, na kuhakikisha upatikanaji wa rasilimali za kutosha na endelevu kwa ajili ya mfumo wa VET nchini.
Dira ya VETA ni kuwa na “Tanzania yenye mafundi stadi wa kutosha na wenye ujuzi.”
Dhamira ya VETA ni kuhakikisha Watanzania wanapata ujuzi bora wa ufundi unaozingatia mahitaji ya soko kupitia utoaji, uhamasishaji, udhibiti, na ufadhili wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi ili kuchangia maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
Kupata majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi katika vyuo vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka wa 2025 bonyeza hapa SELECTED APPLICANTS FOR 2025 INTAKE PDF chini.

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UFUNDI STADI KWA MWAKA WA 2025

Attachments