Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Geita Ajira za ICAP December 2024

Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Geita Ajira za ICAP December 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Geita Ajira za ICAP December 2024. Katibu Tawala Mkoa wa Geita anapenda kuwataarifu waombaji wa nafasi mbalimbali za kazi waliofanya usaili tarehe 03 Disemba 2024 kuwa matokeo ya waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa kwenye tangazo hili.

Maelekezo kwa Waombaji Waliofaulu:​

Waombaji waliofanikiwa na kupangiwa vituo vya kazi wanatakiwa kufanya yafuatayo:
  1. Kuripoti kazini tarehe 10 Disemba 2024 kwa mwajiri wakiwa na:
    • Vyeti halisi vya masomo na taaluma, kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
    • Hii ni kwa ajili ya uhakiki wa vyeti kabla ya kupokea mikataba ya ajira.
  2. Kumbuka:
    • Mtumishi ambaye hataripoti hadi tarehe 13 Disemba 2024, nafasi yake itachukuliwa na mwingine mwenye sifa.
Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Geita Ajira za ICAP December 2024

Kwa Waombaji Ambao Majina Yao Hayapo:​

Ikiwa jina lako halimo katika tangazo hili, tafadhali elewa kuwa hukufaulu usaili. Hata hivyo, usikate tamaa; endelea kuomba nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.

Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.
 

Download PDF

Back
Top Bottom