S

Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (AICC) November 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 90%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
803
Haya hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kazini Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (AICC) November 2024. Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 05-03-2024 na tarehe 12-09-2024 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

TANGAZO LA KUITWA KAZINI UTUMISHI AICC 29-11-2024
 

Download PDF

Back
Top Bottom