Hili hapa tangazo la Orodha ya Majina ya Walioitwa Kazini SUA 2024/2025 | BBT, Bodi ya Pamba Tanzania pia kuitwa kazini Chuo cha SUA kwa mwezi November 2024.
TANGAZO LA KUPANGIWA VITUO VYA KAZI KWA PROGRAMU MAALUM YA KUENDELEZA ZAO LA PAMBA NCHINI AWAMU YA PILI
Imetolewa na:
Makamu Mkuu wa Chuo, SUA
Kwa Ushirikiano na Bodi ya Pamba
Pakua PDF hapa chini kama una swali jisajili kisha uliza hapa
TANGAZO LA KUPANGIWA VITUO VYA KAZI KWA PROGRAMU MAALUM YA KUENDELEZA ZAO LA PAMBA NCHINI AWAMU YA PILI
Maafisa Kilimo na Maafisa Kilimo Wasaidizi Waliopangiwa Vituo vya Kazi
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kwa kushirikiana na Bodi ya Pamba, anapenda kuwajulisha waombaji wa nafasi za muda za Maafisa Kilimo na Maafisa Kilimo Wasaidizi, kupitia programu maalum ya kuendeleza zao la pamba nchini, kwamba wafuatao wamepangiwa vituo vya kazi kwa awamu ya pili.Maelekezo Muhimu:
- Waombaji Walioripoti na Kupokelewa
- Waombaji waliokwisha ripoti kwenye vituo mbalimbali, kupokelewa na kupewa mikataba ya kazi, au wanaoendelea na mchakato wa kusaini mikataba, wanashauriwa kuendelea na majukumu yao katika vituo hivyo bila kusita.
- Waombaji Ambao Hawajapata Taarifa za Vituo vyao
- Waombaji ambao bado hawajapokea taarifa za vituo walivyopangiwa wanashauriwa kuwasiliana moja kwa moja na Bodi ya Pamba kwa:
- Simu: 0768 013 844
- Barua Pepe: edina.buberwa@tcb.go.tz
- Waombaji ambao bado hawajapokea taarifa za vituo walivyopangiwa wanashauriwa kuwasiliana moja kwa moja na Bodi ya Pamba kwa:
- Zoezi la Uainishaji Vituo Linaloendelea
- Zoezi la kupanga vituo kwa maafisa na maafisa wasaidizi wengine bado linaendelea. Taarifa mpya zitaendelea kutolewa kwa awamu. Kwa ufafanuzi zaidi, tafadhali wasiliana na Bodi ya Pamba kupitia namba tajwa hapo juu.
Tunawatakia Kazi Njema
Wote mnaombwa kutekeleza majukumu yenu kwa bidii na uadilifu ili kufanikisha maendeleo ya sekta ya pamba nchini.Imetolewa na:
Makamu Mkuu wa Chuo, SUA
Kwa Ushirikiano na Bodi ya Pamba
Pakua PDF hapa chini kama una swali jisajili kisha uliza hapa
Download PDF