Y

Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2025/2026, Majina 2115 Ajira Immigration

NECTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2025 SHULE ZOTE BONYEZA HAPA
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hii hapa Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2025/2026 Majina 2115. Kuitwa kwenye usaili Immigration Leo, Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia vijana walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji na waliopokea barua pepe na ujumbe wa simu kufika kwenye usaili kama ifuatavyo:-
Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Uhamiaji 2025/2026, Majina 2115

Vijana wote walioomba Ajira kupitia Mfumo wa e-Ajira wa Uhamiaji kutembelea akaunti zao za maombi ya ajira kupitia tovuti ya Uhamiaji www.immigration.go.tz na kwa barua pepe zao ili kupokea taarifa na maelekezo ya tarehe na eneo la kufanya usaili kwa waliochaguliwa.

Waombaji wote wanatakiwa kuwa na namba ya ombi la Ajira (Application ID) iliyochapishwa kama ilivyotumwa kwenye namba za simu na barua pepe, Kitambulisho chenye picha yake (Mfano, Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha Mkazi, Kadi ya Mpiga Kura, Pasipoti au Kitambulisho chochote kinachomtambulisha kwa sasa) pamoja na Kalamu ya wino wa bluu.

Kwa waombaji wenye fani za TEHAMA na ufundi magari wajiandae kwa usaili wa vitendo (Practical Examination).

Waombaji walioitwa kwenye usaili wamejulishwa kupitia namba zao za Simu na ujumbe wa barua pepe (e-mail) kama ilivyoainishwa katika Mfumo. Aidha, Wasailiwa wote watatakiwa kujigharamia chakula, usafiri na malazi wakati wote wa zoezi la usaili.

Aidha, Orodha ya Majina ya waliochaguliwa inapatikana kupitia tovuti ya Idara ya Uhamiaji (www.immigration.go.tz).

Pakua PDF hapo chini.
 
Last edited by a moderator:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom