Wananchi, Hii hapa Orodha ya Walioitwa kwenye Usaili Polisi Tanzania Aprili 2025 PDF zote za mikoa yote na majina, Mkuu wa Jeshi la Polisi anawatangazia vijana walioomba ajira ya Jeshi la Polisi kupitia mfumo wa Ajira (TANZANIA POLICE FORCE - RECRUITMENT PORTAL) kuwa usaili utafanyika kuanzia tarehe 28/4/2025 saa 07:00 Asubuhi hadi tarehe 11/5/2025 kote nchini.
Pakua hapa moja kwa moja
Orodha kamili ya majina hii hapa.
drive.google.com
Pakua hapa moja kwa moja
Orodha kamili ya majina hii hapa.
TANGAZO LA USAILI POLISI TANZANIA - wananchiforum.com 2025.pdf

Tangazo la Usaili Polisi Tanzania
23-04-2025 PDF
Walioitwa kwenye usaili Polisi 2025 PDF
23-04-2025
Last edited: