Habari,
Nina swali kidogo: majina yangu kwenye NIDA yana tofauti spelling kidogo na vyeti. Je, hii inaweza kuniletea shida kwenye Ajira Portal au naweza kuapply hivyo hivyo?
Ushauri wenu tafadhali
Vyeti viko sawa vyote tatizo ni NIDA tu spelling

Last edited by a moderator: