Hii hapa ratiba mpya ya usaili Katibu wa Ofisi ya Rais,Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anawajulisha waombaji kazi wote walioitwa kwenye usaili katika Taasisi ya Uongozi (Uongozi Institute) tarehe 01 Novemba hadi tarehe 08 Novemba, 2025 kuwa usaili huo sasa utafanyika kwa tarehe zilizooneshwa kwenye jedwali hapo chini.
Nafasi za Kazi Platinum Credit Tanzania
7-11-2025
Nafasi za Kazi Maendeleo Bank Tanzania
8-11-2025