Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Pili NECTA 2024 | Form Two

Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Pili NECTA 2024 | Form Two 2024/2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,737
Gift submitted a new resource:

Ratiba ya Mtihani wa Kidato cha Pili NECTA 2024 | Form Two - Kutoka NECTA hii ni ratiba ya mitihani yote inayoanza siku ya kesho na baadae Matokeo ya kidato.

Mtihani wa kidato cha pili (FTNA) nchini Tanzania unaandaliwa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) na ni mtihani muhimu katika mfumo wa elimu kwa wanafunzi wa sekondari. Mtihani huu unafanyika kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha pili kwa lengo la kupima maendeleo yao kitaaluma na kufuatilia mafanikio yao katika masomo wanayojifunza. Kupitia matokeo ya mtihani huu, wanafunzi hupimwa na kuelezwa kama wako tayari kuendelea na masomo ya kidato cha tatu.
[ATTACH type="full" size="1003x703"...

Read more about this resource...
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom