Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu Bunda Vigezo, Ada

Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu Bunda Vigezo, Ada 2025

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Hizi hapa Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu Bunda Vigezo, Ada pamoja na gharama. Chuo kipo chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Chuo hiki hutoa maarifa na ujuzi ambacho huandaa Walimu kutoa huduma kwa Wanafunzi.

Kozi zinazotolewa​

1. Stashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi mchepuo wa Sayansi ya jamii na lugha ya kiswahili (kwa kutumia lugha ya kiswahili).

Sifa za kujiunga​

1. Cheti cha Juu cha Elimu ya Sekondari (ACSEE) Alama za chini zinazohitajika: 17
Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu Bunda Vigezo, Ada


Uongozi wa chuo unafurahi kukuarifu kuwa umechaguliwa kujiunga na kozi ya Astashahada ya Ualimu Elimu ya Awali, Astashahada ya Ualimu Elimu ya Msingi na Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari katika chuo cha Ualimu Bunda. Mafunzo haya yatachukuwa muda wa miaka miwili kwa kila kozi.

Ada ya chuo cha bunda mafunzo ni TSH 450,000/= kwa mwaka. Unaweza kulipa Tsh. 225,000/= kwa muhula kwa kutumia Control number inayopatikana ofisi ya Mhasibu wa chuo.
 
Last edited:
Back
Top Bottom