Sifa za Kujiunga na Diploma ya Public Relation and Marketing Chuo cha Dar Es Salaam School of Journalism

Sifa za Kujiunga na Diploma ya Public Relation and Marketing Chuo cha Dar Es Salaam School of Journalism Mahitaji, Vigezo, Ad

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hizi hapa Sifa za Kujiunga na kusoma Diploma Public Relation and Marketing Chuo cha Dar Es Salaam School of Journalism katika vyuo vya serikali.
Sifa za Kujiunga na Diploma ya Public Relation and Marketing Chuo cha Dar Es Salaam School of Journalism

Sifa na Vigezo:
  • Wenye Cheti cha Kidato cha Nne (CSEE) na angalau ufaulu wa masomo manne yasiyo ya kidini.
  • AU Wenye Cheti cha Ufundi wa Kitaifa (NVA Level III) pamoja na Cheti cha Kidato cha Nne (CSEE).
  • Wenye Cheti cha Ufundi wa Msingi (NTA Level 4) katika Mahusiano ya Umma na Masoko, Mawasiliano ya Habari, Uandishi wa Habari, au Mahusiano ya Kimataifa.
  • AU Wenye Cheti cha Kidato cha Sita (ACSEE) na angalau alama moja ya Principal Pass na Subsidiary moja kwenye masomo ya Principal.
Muda wa Kusoma:
  • Miaka 3 kwa waombaji wa CSEE/NVA.
  • Miaka 2 kwa waombaji wa NTA Level 4/ACSEE.
Nafasi za Udahili:
  • Miaka 3: Wanafunzi 150.
  • Miaka 2: Wanafunzi 100.
Ada ya Masomo:
  • Wazawa: TSH. 850,000/=.
  • Wageni: USD 369/=.
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom