Hivi hapa sifa na Vigezo vya Kuomba Nafasi au kujiunga na Mafunzo ya KOICA 2025 kupitia Utumishi nchini Korea kusini kwa watanzania wote.
i. Awe mtumishi wa umma,
ii. Awe na umri wa miaka chini ya 40 kwa ujumla, au umri maalum kama unavyotakiwa na Chuo Kikuu,
iii. Awe na angalau uzoefu wa miaka 2 wa kazi katika sekta husika,
iv. Awe na uelewa mzuri wa lugha ya Kiingereza, akizungumza na kuandika kwa ufasaha,
v. Awe na Shahada ya Kwanza (Bachelor Degree) katika fani inayohusiana,
vi. Awe na afya njema kimwili na kiakili,
vii. Waombaji wenye ulemavu, lakini wenye afya njema ya akili na mwili, wanaruhusiwa na wanahimizwa kuomba,
viii. Waombaji wenye magonjwa makubwa HAWARUHUSIWI kuomba,
ix. Mwombaji aliyewahi kumaliza programu ya Shahada ya Uzamili iliyofadhiliwa na KOICA au Scholarship nyingine ya Serikali ya Korea HASTAHILI kuomba tena,
x. Mwombaji aliyewahi kufuta programu ya KOICA ya Shahada ya Uzamili HASTAHILI kuomba tena,
xi. Fomu za maombi zinapaswa kujazwa kwa kompyuta (typed) kwa lugha ya Kiingereza na kusainiwa kwa mkono,
xii. Waombaji wanapaswa kusoma kwa umakini taarifa za kila programu na kuhakikisha nyaraka zote za Chuo Kikuu zimehakikiwa (Certified),
xiii. Waombaji wanapaswa kuwasilisha Cheti cha Uthibitisho wa Uwezo wa Lugha ya Kiingereza pamoja na nyaraka nyingine za maombi.