Siku Ya Mchezo: Yanga vs Tp Mazembe CAFCL Leo 04 January 2025.

Siku Ya Mchezo: Yanga vs Tp Mazembe CAFCL Leo 04 January 2025.

Revoo

Member

Reputation: 18%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
160
Yanga Leo Dimbani kusaka Alama tatu ambazo zitafufua matumaini yao ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Africa CAFCL, Mchezo utachezwa Benjamin mkapa Tanzania majira ya saa kumi jioni.
FB_IMG_1735973141579.webp



Clatous Chama na Attohoula Yao watakosekana kwenye mechi ya keshoCAF CL dhidi ya Tp Mazembe

Chama anaendelea na matibabu ya jeraha lake la mkono huku Yao akiendelea na matibabu ya jeraha lake la goti.
FB_IMG_1735973262438.webp
 
Back
Top Bottom