- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Leo Jumapili ya mwisho Kwa Mwaka huu 2024, itakwenda kushereheshwa na mechi kubwa kabisa ya Ligi kuu Nbc PL Tanzania kati ya Mabingwa watetezi na wawakirishi pekee wa Tanzania kunako michuano ya kilabu bingwa Africa CAFCL, Yanga Dhidi ya Singida Fountain Gate katika uwanja wa KMC Complex Dar es salaam, majira ya saa kumi jioni.