Simba Safarini Kuwafuata Cs Sfaxien Tunisia

Simba Safarini Kuwafuata Cs Sfaxien Tunisia

Revoo

Member

Reputation: 21%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
182
Kikosi Cha Simba sports club kimesafiri Alfajiri ya leo Januari 1 2025 kuelekea Nchini Tunisia kwaajili ya mchezo wa CAFCC dhidi ya CS Sfaxien

Mchezo ambao utachezwa tarehe 5 Mwezi wa kwanza Mwaka huu 2025.
-qw06vu.webp

𝐖𝐀𝐂𝐇𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 22 𝐖𝐀𝐋𝐈𝐎𝐒𝐀𝐅𝐈𝐑𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐃𝐀 𝐓𝐔𝐍𝐈𝐒𝐈𝐀

𝐆𝐎𝐀𝐋𝐊𝐄𝐄𝐏𝐄𝐑𝐒

🇬🇳Moussa CAMARA
🇹🇿Ally SALIM
🇹🇿Hussein ABEL

𝐃𝐄𝐅𝐄𝐍𝐃𝐄𝐑𝐒

🇹🇿Shomari KAPOMBE
🇹🇿Mohammed HUSSEIN
🇹🇿Kelvin KIJILI
🇧🇫Valentin NOUMA
🇨🇮Chamou KARABOU
🇨🇲Che MELONE
🇹🇿Abdulrazak HAMZA

𝐂𝐄𝐍𝐓𝐑𝐀𝐋 𝐌𝐈𝐃𝐅𝐈𝐄𝐋𝐃𝐄𝐑𝐒

🇹🇿Yusuf KAGOMA
🇳🇬Agustine OKEJEPHA
🇹🇿Yassin MZAMIRU
🇨🇩Fabrice NGOMA
🇨🇬Debora FERNANDEZ

𝐀𝐓𝐓𝐀𝐂𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐌𝐈𝐃𝐅𝐈𝐄𝐋𝐃𝐄𝐑𝐒

🇹🇿Ladack CHASAMBI
🇹🇿Awesu AWESU
🇨🇩Ellie MPANZU
🇹🇿Kibu DENIS
🇨🇮Jean AHOUA

𝐒𝐓𝐑𝐈𝐊𝐄𝐑𝐒

🇺🇬Desse MUKWALA
🇨🇲Leonel ATEBA

NOTE: Elie Mpanzu amesafiri kwa mara ya kwanza na Simba SC kwaajili ya michuano ya CAF🚨🇨🇩
20241223_195939.webp
 
Back
Top Bottom