Simba sports club safarini Leo Tarehe 19 December 2024 Kuwakabili Kagera Sugar.

Simba sports club safarini Leo Tarehe 19 December 2024 Kuwakabili Kagera Sugar.

Revoo

Member

Reputation: 18%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
160
Kikosi cha Simba sports club kinaondoka leo saa tano asubuhi kuelekea Bukoba, Kagera kwa ajili ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar, utakaopigwa jumamosi ya Desemba 2, 2024.

Baada ya mechi jana wachezaji waliruhusiwa kurudi nyumbani kwao kwaajili ya mapumziko na Sasa wamewasili kambini tayari Kwa safari.
20240922_201837.webp

Winga Elie Mpanzu anasafiri leo kuelekea Bukoba, Kagera kuvaana na Kagera Sugar baada ya jana kushindwa kucheza dakika za mwisho baada ya kukosa leseni iliyochelewa.
20241115_212759.webp
 
Back
Top Bottom