- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Ligi za Mabingwa za Mabara yetu duniani ,zilianza miaka ya 1950 kwa kule Ulaya na Afrika zilianza miaka ya 1960,
Hakukuwa na Makombe mengine ya Mpata Mpatae.
Rais wa UEFA wa miaka ile ,akaja na ubunifu wa kuanzisha Mashindano mengine yakiwemo ya Cup Winners Cup na Uefa Cup ,ili kuiwezesha Club yake aliyokuwa akiishabikia nchini mwake kushiriki Mashindano ya Vilabu ya nje, Coz kule kwao ,team yake ilikuwa hata iweje haiwezi kuchukua Ubingwa wa nchi yao, kulikuwa na Giants wasiozuilika.Sanasana Team yake ikipapatua iwe ya tatu au ya nne like Magendaheka wetu wa hapa.
Na Sie Bara la Afrika na CAF yetu ,tukaja kuiga kuwa na Mashindano ya loosers miaka ya Sabini mwishoni na baadae miaka ya Tisini.kama kawaida yetu Waaftika kuiga kila wanachofanya Walami.
Hadi hivi leo Wahafidhina wa Siasa za football Ulaya na Afrika hawayataki Mashindano mengine zaidi ya Ligi ya Mabingwa, Wakiamini hayana maana na mvuto ,na ni kupoteza hadhi za Mabingwa wa Nchi husika.
Ukitaka kuamini Wahafidhina wapo sahihi ona misimamo ya ligi za Mabingwa Afrika zilivyo kisha kachungulia misimano ya makombe ya aliyepata kapata na aliyekosa kakosa.
Huku ni kiumeni hasa.
Mwananchi jipige kifuani sema kwa kinywa kipana huku ukitamba ,unashiriki ligi ya kiumeni na sio ya fungu la kukosa.Vimbaaaa Mwananchi na jirani yako kama ni kolo Mpe Kwenzi na mwambie ww looser kaa kimya.