C

Swali kuhusu Academic Qualifications

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
OK.
Kwanza kwenye nafasi husika wanataka wenye sifa gani?
2. Kwenye account yako ya ajira portal academic qualification umejazaje? sehemu ya program
Naomba msaada: Niko na Qualifications za kazi usika ajira portal, lakini still inaniandikia "Application failed:- Check Specified Academic Qualifications Requirement for the Job Post" ni wapi nakuwa nakosea?
 
Naomba msaada; nimejaza kila kitu na nacho apply wanataka cheti cha IV/VI na pia uwe na mafunzo ya military au polisi. But still inaanduka failed and check academic qualification
 
Habari za Asubuhi samahani kwa usumbufu nimesomea Mechanic technical katika chuo Cha vete Moshi Nina miaka mitatu Mpaka Sasa nikimaliza level ya certificate je napataje msaada wa connection ya kazi kama mtojali🙏
 
Kwanza kwenye nafasi husika wanataka wenye sifa gani?
2. Kwenye account yako ya ajira portal academic qualification umejazaje? sehemu ya program
Naomba msaada; nimejaza kila kitu na nacho apply wanataka cheti cha IV/VI na pia uwe na mafunzo ya military au polisi. But still inaanduka failed and check academic qualification
 
Jisajili ajira portal portal.ajira.go.tz na kisha jaza taarifa zako.
Hakikisha vyeti viwe vimehakikiwa na mwanasheria
Habari za Asubuhi samahani kwa usumbufu nimesomea Mechanic technical katika chuo Cha vete Moshi Nina miaka mitatu Mpaka Sasa nikimaliza level ya certificate je napataje msaada wa connection ya kazi kama mtojali🙏
 
Kwanza kwenye nafasi husika wanataka wenye sifa gani?
2. Kwenye account yako ya ajira portal academic qualification umejazaje? sehemu ya program
CSE, na sifa wanazotaka ni
Kwanza kwenye nafasi husika wanataka wenye sifa gani?
2. Kwenye account yako ya ajira portal academic qualification umejazaje? sehemu ya program
Screenshot_20251114-143004_Chrome.webp

Kwanza kwenye nafasi husika wanataka wenye sifa gani?
2. Kwenye account yako ya ajira portal academic qualification umejazaje? sehemu ya program
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom