J

Swali kuhusu ajiraportal

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

jj1

New member

Joined
Apr 13, 2026
Messages
1
Mimi ninashida kwenye ajira portal wakati najaza taarifa zangu kwenye academic qualifications imejirudia mara 8 kutokana na mtandao na hamna sehem ya kudelete ili ibaki moja nifanye nini maana bado sijadeclare
 
Hapo kujirudia hakuna shida. Wewe upload vyeti na transcript pote. Na hakikisha kila kitu kina mhuri wa mwanasheria
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom