- Joined
- Jan 21, 2025
- Messages
- 4
HIVI HUWA MNAPOST KAZI ZA WATU WALIOSOMEA FANI ZA UMEME KUTOKA VYUO VYA VYETA KWA NGAZI ZA LEVEL TWO AU THREE? NA KAMA HUWA MNAPOST JE HUWA MNAPOST ZA MASHIRIKA YA SERIKALI PIA AU BINAFSI TU? Kwa ngazi hiyo ya elimu niliyoitaja hapa