Taarifa kwa Wasailiwa Ajira Portal

Taarifa kwa Wasailiwa Ajira Portal 12-04-2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili wa Ualimu masomo ya Amali na Biashara, unatakiwa kuingia kwenye akaunti yako ya AJIRA PORTAL katika eneo la PERSONAL DETAILS na kisha angalia eneo la CURRENT RESIDENT REGION – Mkoa unaoonekana hapo ndio Mkoa utakaofanyia usaili,


Taarifa kwa Wasailiwa Ajira Portal
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom