Wasailiwa wote mlioitwa kwenye usaili wa Ualimu masomo ya Amali na Biashara, unatakiwa kuingia kwenye akaunti yako ya AJIRA PORTAL katika eneo la PERSONAL DETAILS na kisha angalia eneo la CURRENT RESIDENT REGION – Mkoa unaoonekana hapo ndio Mkoa utakaofanyia usaili,
tzcareers.com

Form Five Selection 2025 (Waliochaguliwa Kidato cha Tano), Dar
Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2025 - Form Five Selection 2025/2026. Hongera kwa wahitimu wote wa kidato cha nne 2024! Shule walizopangiwa.
